ITAMBUE NAFASI YAKO KAMA KIJANA ILI ULETE MABADILIKO KATIKA MAISHA YAKO

Jesus Up!

Karibu katika safu hii ya mafundisho ya vijana yanayoitwa Nafasi ya Kijana. Tutakuwa na mambo kadha wa kadha ya kujifunza kuhusu Nafasi ya Kijana kwa ujumla wake tukimwangalia Kijana na sehemu anazotakiwa kusimama au wajibu anaotegemewa kuwa nao na kuufanyia kazi au majukumu aliyonayo katika maeneo mbali mbali yanayomuhusu. Ni mafundisho yanayolenga kuleta ufahamu sahihi juu ujana na Kijana kama Ufalme wa Mungu unavyomtambua na kumtegemea pia. Lengo letu kuu ni kuwafanya vijana wawe wanafunzi wa Yesu kwelikweli kwa kufundishwa KWELI ya Neno la Mungu kuhusu Nafasi yao katika upana wa maisha yao. Ni muhimu kila Kijana akafahamu mambo yafuatayo kuhusu yeye:

1. Ni lazima ujitambue, upate ufahamu sahihi juu ya maisha yako pamoja na mambo yote na jamii inayokuzunguka

2. Ni muhimu ujue wajibu ulionao kwako wewe mwenyewe kama mtu binafsi juu ya maisha yako

3. Kuna haja ya kujua kuwa wewe ni sehemu ya familia yako na lazima ujue wajibu wako kwa wazazi na familia kwa ujumla

4. Ni lazima ujifunze kuwa mzalendo wa taifa lako sawa na jinsi ambavyo Mungu anataka, fahamu kuwa umeunganishwa na ardhi ya Tanzania kwa mafanikio yako, Mungu akikwambia nenda nje ya nchi nenda lakini usifikiri mafanikio hayako Tanzania

5. Kijana anatakiwa ajitambue, ajielewe yeye ni nani na ana kusudi gani katika maisha yake

6. Unatakiwa kupata uelewa wa kutosha juu ya kipindi cha ujana na umuhimu wake ukiwa bado Kijana ili ujue namna ya kuzingatia na kujipanga kwa hapo baadae

7. Kuelewa changamoto zilizopo katika kipindi cha ujana na namna ya kuzishinda kuna uhusiano na namna unavyojitambua ukiwa bado kijana

8. Kujenga shauku, nia na kiu kwa kijana ili aweze kuishi maisha yenye mwelekeo na aweze kutimiza maono yake akiwasaidia na wengine kumjua Mungu na maisha yake kwa ujumla wake

9. Kuwekeza uthamani na nguvu ya kipindi cha ujana kwa mtazamo wa Ufalme wa Mungu

UELEWA JUU YA UJANA NA KIJANA 

  1. Ujana ni hatua ambayo mtu anaipitia baada ya utoto au ni kipindi cha kati cha makuzi ya mtu kabla ya utu uzima na hatimae uzee
  2. Ujana huanza mara baada ya mtu kubadilika kimaubile na huanzia miaka kumi na mbili wengine hadi kumi na tano ambapo mtu huanza kuwa na hisia za kimwili na kutamani sana kuwa na uhuru wake katika maamuzi. Mabadiliko haya huchochea au hupelekea hisia mbalimbali za kimwili na mabadiliko ya jumla ya tabia 
  3. Ujana ni majira yanayopita katika makuzi ya mwanadu, ukifanikiwa kuwa mzee ni lazima ulipita katika kipindi hiki au daraja hili la ujana, kwa hiyo kama bado uko katika dara hili ni muhimu kujipanga ili usije ukajilaumu mbele ya safari

ZINGATIA HII

“Huwezi kuyajali maisha yako kama hujui thamani yake, huwezi kujua thamani ya maisha yako kama hujajitambua kwa Neno la Mungu, huwezi kuwa na maisha ya mafanikio kama maamuzi yako hayatengenezi mafanikio, ufahamu sahihi juu ya maisha yako ndio msingi wa kujitambua kwako, yaani kuijua Kweli ili hiyo Kweli ikuweke huru na ndipo utakapokuwa huru kweli kweli, kumbuka hata usipoamua maisha yako yataendelea kama kawaida. Zaidi ya hayo kama hujui wewe ni nani huwezi kujua thamani yako, kama hujui thamani yako lazima utaishi chini ya kiwango cha maisha unayotakiwa kuishi”

UTAIJUAJE NAFASI YAKO KAMA KIJANA

Nafasi yako kama Kijana ni wajibu wako, umuhimu ulionao kwako na kwa jamii kwa ujumla wake pamoja na familia yako. Lazima ujue Nafasi yako katika maeneo yafuatayo:

• Kwako binafsi,

• Kwa familia yako,

• Kwa kanisa lako,

• Kwa jamii yako

• kwa mkoa wako,

• kwa taifa lako na

• kwa Ufalme wa Mungu. Safari ya kujua

Nafasi yako katika maeno yak ohayo yote inaanzia katika neon moja tu: KUJITAMBUA.

Jenga Ufahamu Hapa

1. Kujitambua ni hatua ya muhimu katika maisha ya mtu yoyote duniani kama anataka kuishi kwa Furaha na matumaini na kufikia malengo yake

2. Kujitambua ni matokeo ya kupata ufahamu sahihi juu eneo fulani utakaokusaidia kufanya maamuzi sahihi katika eneo husika ili uweze kufanikiwa

3. Ufahamu au maarifa unapatikana kwa kutafuta, kuchunguza na kudadisi taarifa mbalimbali kwani si kila namna ya kujitambua ni sahihi kwa kijana

4. Matokeo ya ufahamu ulionao yatafanana na ubora wa maisha unayoishi kwa kiwango cha kuathiri maamuzi yako ya kila siku

5. Kiwango cha matokeo ya kujitambua kitafanana na ubora wa taarifa ulizozipata

6. Udhihirisho wa maisha ya kujitambau ni hatua ya juu kabisa ya kuthibitisha kwamba kweli umejitambua

KUJITAMBUA NI NINI

“Kujitambua ni hali ya kuwa na ufahamu au uelewa (kujua) wa kutosha juu ya maisha yako kwa ujumla pamoja na mazingira yanayokuzunguka na hivyo kukufanya uishi maisha yanayofanana au kulingana na kusudi la Mungu kwako, uishi katika ubora wa maisha yanayolingana na kiwango cha ufahamu ulionao au kiwango cha kujitambua kwako kutegemeana na nguvu ya taarifa unazopata” …itaendelea

 

Kwa mawasiliano zaidi juu ya huduma ya vijana mahali ulipo au audio cd na vitabu na ushauri:

Mwl Raphael Joachim Lyela

Youth Kingdom Ministries

Barua pepe: ykmjesusup@yahoo.com au ykmjesusup@gmail.com

Mobile: 0767033300

Sikiliza Radio Uzima FM 94.0-Dodoma kila ijumaa saa kumi na moja jioni.

Tembelea: www.gospelstandardbase.blogspot.com

RaphaEl JL:

YOUTH KINGDOM MINISTRIES TUJUMUIKE KATIKA MAOMBI HAYA

Originally posted on Strictly Gospel:

makubaliano
Wapenzi wa Strictly Gospel (SG), marafiki na watumishi wote wa Mungu popote mlipo,
Tutakuwa na maombi ya kufunga na kuomba kuanzia tarehe 20 hadi 22 mwezi February 2013.
Masaa 72 ya kufunga unaruhusiwa kunywa maji pekee. Kwa wale wasioweza kwenda masaa 72 unaweza kufunga kwa masaa 12 kwa siku.
Tutakuwa tukiweka update kuanzia siku ya kwanza hadi ya tatu katika ukurasa huu, Hivyo watu na makundi mbali mbali mnaweza kufuata ratiba hii ili twende sawa.
Kwa wale walioko Dar es salaam Tanzania, Siku ya tatu Ijumaa tarehe 22 February 2013 tutakutana kwenye ukumbi wa kanisa la JESUS CELEBRATION CENTRE (JCC) URAFIKI. Kuanzia saa nne usiku hadi asubuhi. Kutakua na Ibada ya Sifa, Kuabudu, Maombi kwa ajili ya Tanzania.
Ikiwa utashiriki nasi kwenye mkesha wa maombi tafadhali tujulishe kwa email strictlygospel@yahoo.co.uk
Pia kwa wale mlio mbali wasiliana nasi kwa email hapo juu
Tutaomba kwa ajili ya Rehema za Mungu na Ulinzi…

View original 33 more words

KINGDOM TRANSFORMER

Hello,

Ni lazima ujue unakokwenda kama unataka usichelewe kufika au kama unataka ufike salama lakini kama hujui unakokwenda huwezi kuijua njia na kwasababu hiyo huwezi kupotea na njia yoyote itakufaa,haya ni maisha yasiyo na tumaini la maisha.Mwamuzi ni wewe. Yesu alisema kuwa yeye ni NJIA NA KWELI NA UZIMA.

 

Jesus Up!

MINDSET UPGRADE

Mindset Upgrade! The only thoughts that you can be sure of are the only thoughts that are in your mind,so never think on behalf of someone and in this case its hard even to speak on behalf of someone unless you are told so and even so you cant speak just the same way.

 

JESUS UP!

 

YOUTH KINGDOM MINISTRIES LEADERS-YKML

Huduma ya YKM ina viongozi wanaozingatia sifa zifuatazo:

*He/ she should have  a learning attitude (awe tayari kujifunza na kusikiliza)
*God fearing ( awe na hofu ya Mungu).
*Should be able to influence others towards a positive Godly change ( awe na uwezo wa  kuwashawishi  wengine kuwa na mabadiliko chanya ya KiMungu)
*Should have a vision of his own ( awe na maono yake binafsi).
*Should be able to stand on the right decisions and he should be able to become a help to others ( aweze kusimama katika maamuzi sahihi na aweze kuwa msaada kwa wengine)
*Awe ameokoka (he should be born again)
*Awe mwombaji na anayekubali mabadiliko ya kiroho (  he/she should be a prayer worrier and ready to accept spiritual transformation)
*Mtii. (he / she should be obedient)
*Mnyenyekevu.( he/she should be humble)
*Awe tayari kutumika wakati wowote( he/she should be ready  at any time)
*Awe na uelewa wa kutosha kuhusu YKM mf; huduma( he/ she should  have enough  understanding  concerning  YKM  eg; ministry)
*Commitment.(  Kujitoa)
* Awe  tayari  kutumia rasilimali zake binafsi mfano; pesa, muda..  ( should be ready to  use his or her  resources eg; time, money for ministry.)
*Kiongozi ni  lazima awe mwanachama  kwanza ( a leader should be a member first)
*Awe tayari kusikiliza  mawazo na matatizo ya mabalozi na wanachama na  Kutafutia ufumbuzi  maswala ya  YKM( being able to listen to ideas and problems of the ambassadors and find resolutions matters  concerning YKM)
*Kua  balozi wa YKM popote atakapokuwa na kuwa tayari kubadili jamii iuelekee ufalme  wa  Mungu. (willingness to be  an ambassador of YKM and being ready to impact  and transform the community  for the kingdom of God)

YKM LEADERS AFTER THE EXPOSURE PARTY IN ARUSHA

YOUTH KINGDOM MINISTRIES AMBASSADORS-YKMA

Young people, located everywhere, devoted to serve the Kingdom of God and to live a life that glorify God, THE MAIN TASK IS TO DISTRIBUTE YKMs to other members and friends

*She/he must understand clearly how/what YKM is dealing with-mission
*Be committed with the ministry and has an interest with the YKM ministries in general
*Have good reputation, testimony (honesty, kind etc)
*Understand and make follow-up on the spiritual life of his/her members
*Kuweka record ya YKM members katika eneo lake husika
*Kujua maendeleo ya members wa YKM especially wale wapya na wale wanaotaka kujiunga
*Kuiombea YKM especially katika eneo lake
*Kutoa mrejesho wa maendeleo ya huduma kwa ujumla na jinsi watu wanavyoichukulia
*Pia kujua kama YKM inaleta mabadiliko kwa vijana na kama haileti mabadiliko why. Na kwakuwa unajua watu wa eneo lake atatoa ushauri kitu gani kifanyike ili huduma isaidie watu
HUDUMA ZA YKM
*KINGDOM TRANSFORMERS-“Leadership that transforms” and “Discovering, Developing and nurturing young people into matured Godly leaders for holistic transformation” According to Acts 17:6 “And when they couldn’t find them, they dragged Jason and some of the borthers before the city authorities, shouting, “these men who have turned the world upside down have come here also”
*MINDSET UPGRADE-What we do: By the powerful Word of God  we encourage, empower and transform youth life by sending short messages (sms) through mobile phones. Exist to connect, develop and saturate the mindset of young generation by the Mindset of Christ for the benefit of the Kingdom of God and making the live a life that display the splendor and greatness of God
“Reaching and transforming the lives of young people through the power of technology by the ever-changing and powerful Word of God ” According to Romans 12:2 “and do not be conformed to this world, but be transformed by the renewing of your mind, so that you may prove what the will of God is, that which is good and acceptable and perfect” and Colosians 3:2-ESV “Set your mind on the thing above, not on the things that are on earth”
*Gospel corner- at Mathew 28:16-20
*Kingdom Inspiration:According to Isaiah 41:6-7
*Kingdom Prayers
*THE BRIDGE IS TODAY(tBiT)-.It recognizes the value of the past, signifies the importance of living today
and maximize what today offers and establishing the necessary steps and
preparations for the future. Its because there is a direct link between what
happens today and what will happen tomorrow. Today matters (gets its value and significance) if there is hope (expectation and optimistic) for tomorrow and the value, importance of tomorrow is hidden in the discovery, exploits and maximization of today’s  opportunities. The significance, meaning and value of today is dependent upon the desire and hope that the  future holds something more precious than just temporal tangible things of today.

YOUTH KINGDOM MINISTRIES-WHAT WE DO

Youth Kingdom Ministries, kwa kifupi YKM, ni huduma ya vijana waliookoka na walio chini ya Ufalme wa Mungu wanaolitumikia shauri la Mungu katika kizazi chao kwa kuzingatia Agizo Kuu la Yesu Kristo katika Mathayo 28:19. Huduma hii sio ya dini yoyote au chama cha siasa au mlengo wowote wa kiharakati isipokuwa ni huduma ya Kikristo inayofanyakazi na vijana Tanzania nzima. Huduma hii inaongozwa na vijana waliojitoa ili kuwafikia vijana wengine kwa njia mbali mbali. Huduma hii ya YKM ilianza kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno yaani sms mwaka 2007 na kuanza rasmi mwaka 2008.

Ilianza kwa kutuma sms zenye kichwa Mindset Upgrade, Think Up na Kindgom Inspirations na zilikuwa zinawafikia angalau vijana wasiozidi 50 kwa siku na kwa sasa ni zaidi ya 500 kwa siku.

From left:Grace, Nelson, Tabitha and Irene-YKML

UTUME WETU AU KUSUDI LA KUWEPO KWETU

“Kuwafanya vijana kuwa wanafunzi wa Yesu Kristo kwa kuwafundisha Neno la Mungu ili wapate ufahamu sahihi utakaowasaidia katika maisha yao ya sasa na ya baadae kwa ajili ya utukufu wa Mungu na Ufalme wake”

OUR MISSION

“To make youth the disciples of Jesus Christ by teaching and impacting them with the ever-changing and powerful Word of God for holistic transformation so as to live a life that glorifies God and His Kingdom ”

OUR VISION

“To be a trusted vessel in reaching the youth and transforming their mindset to align with the message of  the Kingdom of God so that they impact their families, societies and nations for the glory of God”

MAONO YETU

“Kuwa chombo kinachoaminika kwa kuwafikia na kubadilisha mfumo wa fikra wa vijana ili uwe sawa na Neno la Ufalme wa Mungu kwa ajili ya kuleta mabadiliko na matokeo katika familia, jamii na taifa kwa ujumla na kwa utukufu wa Mungu ”

YOU CANT GIVE WHAT YOU DONT HAVE

OUR OBJECTIVES

*To preach the message of the KINGDOM OF GOD to the youth so that they live according to the Will of GOD.
*To connect the youth from different places with the WORD OF GOD through various media.
*To make the youth recognize the potentials that  GOD has gifted them.
*To motivate the youth to utilize their resources for the Kingdom of GOD.
*To  create a generation of youth who have the knowledge of the WORD OF GOD and are able to apply it in their daily lives.
*To edify the born again youth in growing deeper into the WORD and expanding their horizons of serving GOD

Some of the YKM leaders and Ambassadors-Arusha

MKAKATI WETU

Tunawafikia vijana kwa njia ya simu zao kwa kuwatumia msg zenye kutafsiri mkakati wetu hapa chini:

1.Kwanza kijana anasaidiwa kukutana na Yesu na kuona uhitaji alionao wa kutengeneza mahusiano yake na Mungu kupitia kwa Yesu Kristo aliye njia, na kweli na uzima
2.Pili Kijana anasaidiwa kupata jamii ya vijana na watu wazima wengine waliookoka na wanaoamini juu ya ujumbe wa Ufalme wa Mungu
3.Tatu anasaidiwa kukua katika imani yake na Kristo kwa kuendelea kupata mafundisho ya neno la Mungu na kuonyeshwa uwezekano wa kuishi maisha ya ujana ukiwa unatumika katika Ufalme wa Mungu
4.Nne, Kijana anafundishwa kujua kuwa anaowajibu wa kuwasaidia wengine kama yeye alivyosaidiwa kwani YKM tunaamini kuwa huwezi kutoa usichokuwa nacho tayari
5.Tano ni kumwezesha kijana kuishi maisha yanayodhihirisha ufahamu alionao juu ya Ufalme wa Mungu, hapa anakuwa balozi wa Ufalme wa Mungu popote alipo

 

 

 

Sefapanong Ke Boha (On the Cross) by Keke Phoofolo

Originally posted on African Gospel Lyrics:

Old Sesotho Hymn

Sefapanong ke boha, wena moloki waka (On the cross I’m watching, you my savior)
Sefapanong ke boha, wena moloki waka (On the cross I’m watching, you my savior)

Madi atswa maqebeng, (The blood flowing from your wounds)
Le metsi le hlakoreng (and the water from your side )
Ka ‘ona ke re nthlatswe, ke be motle ke loke (Given to me, that I should be saved)

(repeat)

Ke be mothle ke loke! (That I should be saved!) x4

View original